MASHABIKI WAMVAA REKLESS KWA MADAI YA KUSUSIA SHOW TURKANA
Mashabiki wa msanii wa muziki wa gengetone Rekless wameghadhabishwa na hatua ya msanii huyo wa kundi la Ethic Entertainment kukosa kutokea kwenye Onesho la Colour Fest lilofanyika katika hoteli ya kifahari ya Ceamo Village viungani mwa mji wa Lodwar. Kulingana na mashabiki hao walipigwa na butwaa baada Rekless kushindwa kutokea kwenye onesha la Colour Fest […]
Read More