REKLESS ASITISHA SHOW YAKE GHAFLA HUKO MUMIAS
Msanii wa kundi la Ethics Entertainment, Rekless amewaacha mashabiki zake wa Mumias na maswali mengi baada ya kujiondoa dakika ya mwisho kwenye onesho la Mumias Cultural Center. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rekless amesema uongozi wake umechukua maamuzi magumu kusitisha show hiyo kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wao huku akiwaomba radhi mashabiki ambao […]
Read More