REMA NAMAKULA AFUNGUKA SABABU ZA KUTOANIKA NDOA YAKE MTANDAONI
Msanii Rema Namakula has ameonyesha kuchukizwa na waganda kwa kuwa roho na roho mbaya. Katika mahojiano yake hivi karibuni Rema amesema siku hizi huwa haposti tena mume wake kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuwa waganda wengi hawamtakii mema. Hitmaker huyo wa ngoma ya Gutujja amesema aliacha kuanika maisha yake ya mahusiano baada ya mashabiki wake […]
Read More