SHATTA WALE AMCHANA REMA KWA MADAI YA KUDHALALISHA WANAWAKE WA GHANA
Siku chache baada ya kuwatolea uvivu mashabiki na wasanii kutoka Nigeria, mwanamuziki mkali wa dancehall kutoka Ghana Shatta Wale ,amemchana mwanamuziki kutoka Nigeria Rema kwa kile alichodai kuwa ni udhalilishaji dhidi ya wanawake wa Ghana. Hii ni baada ya Rema kupitia ukurasa wake wa Twitter kusema kwamba anataka wasichana 10 wa Ghana watulize akili yake […]
Read More