WhatsApp Kuanza Kuruhusu Watumiaji Kushiriki Status za Wengine (Repost)
WhatsApp imeanzisha rasmi majaribio ya kipengele kipya kinachowezesha watumiaji kushiriki (repost) Status za wengine moja kwa moja kwenye Status zao binafsi, bila kulazimika kuomba au kupakua maudhui hayo. Kipengele hiki kwa sasa kinapatikana kwa watumiaji wa toleo la majaribio (beta) kwa Android na iOS, na kinatarajiwa kubadilisha namna watumiaji wanavyoshirikiana kwenye jukwaa hilo. Kwa kutumia […]
Read More