REUBEN KIGAME AKOSOA SERIKALI YA RAIS WILLIAM RUTO KISA DINI
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Reuben Kigame amedai kuwa rais William Ruto ameanza kusahau majukumu yake kwa kuendekeza sana masuala ya dini kwenye uongozi wake. Kupitia ukurasa wake wa Twitter mwiimbaji huyo aliyegeukia siasa amesema sio mbaya kwa rais huyo wa Kenya kuwa mlokole, ila anapaswa kuongoza nchi kwa mujibu wa kifungu cha 27 […]
Read More