KRG THE DON AFUNGUKA KUTUMIA SHILLINGI MILLIONI 4.8 KWA KARO YA WATOTO WAKE
Msanii KRG The Don ameweka wazi kiasi cha pesa ambacho anatumia kuwalipia watoto wake karo kwenye shule moja ya kifahari jijini Nairobi. Kwenye mahojiano na kituo kimoja cha radio nchini KRG amesema huwa anatumia shillingi millioni 4.8 karo ya watoto wake kwa mwaka. Hitmaker huyo wa “Wano” amesema mtoto wake wa kwanza huwa analipa shillingi […]
Read More