RHINO KING ATAMANI KUZICHAPA NA HARMONIZE ULINGONI

RHINO KING ATAMANI KUZICHAPA NA HARMONIZE ULINGONI

Mwanamuziki wa Bongfleva Rhino King ameweka wazi kutamani kupigana na msanii mwenzake Harmonize kufuatia kauli ya Bosi huyo wa Konde Gang aliyoitoa mwishoni mwa wiki iliyopita. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rhino King ameibuka na kumjibu Harmonize kwamba yupo tayari kwa pambano hilo huku akimtaka atangaze tarehe watakayoingia ulingo kuzichapa. “Ulitangaza nakujigamba kwamba uko fiti […]

Read More