PIA PONDS KUFUNGULIA MASHTAKA PROMOTA KWA KUMSUSHIA TAARIFA UONGO

PIA PONDS KUFUNGULIA MASHTAKA PROMOTA KWA KUMSUSHIA TAARIFA UONGO

Msanii wa kike nchini Uganda Pia Ponds amekanusha tuhuma zilizoibuliwa na promota kuwa alidinda kutumbuiza kwenye onyesho la mkesha wa mwaka mpya  lilofanyika jiji London Uingereza licha ya kulipwa pesa zote. Kupitia mitandao yake kijamii Pia Ponds amesema mapromota onesho hilo hawakumlipa pesa zake zote lakni pia walikwenda kinyume na maktaba walioweka kabla ya shoo. […]

Read More