Rick Ross Aonyesha Nia ya Kumaliza Bifu au Mzozo Wake na Drake
Rapa maarufu Rick Ross amejitokeza hadharani na kuonyesha wazi nia ya kumaliza mzozo wake wa zamani na rapa mwenzake maarufu, Drake. Mzozo huu umekuwa ukivuma kwa muda mrefu katika tasnia ya muziki wa rap, huku mashabiki wakisubiri kwa hamu kuona kama wawili hawa wataweza kusuluhisha tofauti zao. Katika mazungumzo na wanahabari hivi karibuni, Rick Ross […]
Read More