Rickman Manrick adokeza ujio wa EP yake mpya
Mwanamuziki Rickman Manrick ametangaza ujio wa Extended Play (EP) ambayo ana mpango wa kuachia mapema mwaka huu. Rickman anasema EP yake itaingia sokoni mwezi Februari 2023 ingawa bado hajaweka wazi jina na idadi ya nyimbo ambayo itapatikana kwenye EP hiyo. Msanii huyo amewataka mashabiki wakae mkao wa kula kupokea nyimbo kali kutoka kwa EP yake […]
Read More