RIHANNA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA HIVI KARIBUNI
Staa wa muziki kutoka Marekani , Rihanna kwa sasa amechoshwa na maswali ya mashabiki ya ni lini ataachia Album yake mpya. Kupitia video inayosambaa kwenye mitandao ya kjamii ameonekana akirekodi bango lililoandikwa “Drop The Album Rihanna” lililokuwa kwenye kumbi moja ya starehe. Hatua hiyo imewaaminisha mashabiki kuwa rihanna yupo mbioni kukata kiu yao na album […]
Read More