RINGTONE ATUHUMIWA KUWATELEKEZA WATOTO WAKE

RINGTONE ATUHUMIWA KUWATELEKEZA WATOTO WAKE

Balaa linazidi kumuandama staa wa muziki nchini Ringtone, baada ya babay mama wake kujitokeza na kudai kuwa msanii huyo amewatelekeza watoto wake. Mwanamke huyo ambaye anadai ana watoto wawili na Ringtone, amesema msani huyo amegoma kabisa kutotoa pesa za huduma ya matumizi kwa watoto wake licha kumshinikiza kufanya hivyo mara kwa mara Aidha mwanamke huyo […]

Read More