RINGTONE APOTEZA MILLIONI 3 ZA KENYA BAADA YA WIMBO WA YESU ANG’ARE KUFUTWA YOUTUBE
Msanii wa nyimbo za injili nchini Ringtone ameumizwa na kitendo cha wimbo wake uitwao Yesu Ang’are aliyomshirikisha Rose Muhando kufutwa kwenye mtandao wa youtube kwa madai ya haki miliki. Kupitia ukurasa wake wa instagram Ringtone amesema anakadiria hasara ya shillingi millioni tatu alizotumia kutayarisha audio na video ya wimbo huo jambo ambalo amesema limempelekea […]
Read More