“Nilikuwa Nakojoa Kitandani Nilipokuwa Nikimchumbia Mume Wangu” – Risper Faith Afunguka Bila Woga

“Nilikuwa Nakojoa Kitandani Nilipokuwa Nikimchumbia Mume Wangu” – Risper Faith Afunguka Bila Woga

Mrembo na mwanasosholaiti maarufu nchini Kenya, Risper Faith, ameacha wengi midomo wazi baada ya kufichua siri ya kushangaza kuhusu kipindi cha uchumba wake na mumewe. Kupitia mahojiano ya moja kwa moja kwenye mtandao wa YouTube, Risper alikiri kuwa alipokuwa akichumbiana na mumewe, alikuwa akijikojolea kitandani mara kwa mara. Katika maneno yake yaliyowavutia wengi mitandaoni, Risper […]

Read More