ASLAY, ABBY CHAMS NA YOUNG LUNYA WASAINIWA ROCKSTAR AFRICA

ASLAY, ABBY CHAMS NA YOUNG LUNYA WASAINIWA ROCKSTAR AFRICA

Label ya Rockstar Africa imetangaza rasmi kuwasaini wasanii watatu kutoka nchini Tanzania; Young Lunya, Abby Chams na Aslay. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, label hiyo imewakaribisha kwenye familia yao ambayo pia inafanya kazi na mkali Ommy Dimpoz. Rockstar Africa ni label inayofanya kazi kwa ukaribu na kampuni kubwa ya muziki duniani, Sony Music Entertainment na […]

Read More