RODDY RICCH KUWAFARIJI WAHANGA WA TAMASHA LA TRAVIS SCOTT
Rapa kutoka nchini Marekani Roddy Ricch alikuwa kwenye orodha ya wasanii ambao wangetumbuiza kwenye siku ya pili ya tamasha la Astroworld Music Festival mjini Houston, sasa ametangaza kutoa pesa zake ambazo alilipwa na kwamba zitakwenda kuwafariji wafiwa na wahanga wa tukio lililotokea kwenye onesho la kwanza, Novemba 5. Tamasha hilo ambalo liliandaliwa na Travis Scott […]
Read More