DJ Romy Jons Amjibu Lava Lava Kuhusu Malalamiko ya Kufanyiwa Fitina
Dj maarufu kutokaTanzania, Romy Jons maarufu Dj RJ, ameibua gumzo baada ya kutoa maoni yake kuhusu malalamiko ya msanii wa Bongo Fleva, Lava Lava. Hii ni baada ya Lava Lava mapema jana kuandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba yeye ndiye msanii anayeongoza kwa kufanyiwa fitina kila anapotoa kazi mpya. Kupitia maoni yake kwenye posti […]
Read More