Ronald Alimpa akiri kuacha kutumia dawa za kulevya
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Ronald Alimpa amekiri kuwa amekuwa akitumia mihadarati kama wasanii wengine duniani. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni anasema wakati huo alikuwa akivuta bangi na hakuna mtu ambaye angemzuia kufanya chochote alichotaka kwani hakuwa amekumbana na madhara ya kutumia dawa za kulevya. Hata hivyo, Ronald Alimpa amethibitisha kuachana na matumizi ya dawa za […]
Read More