Rapa Rose Ree Atoa Wito wa Amani Kufuatia Machafuko ya Uchaguzi Nchini Tanzania
Rapa kutoka nchini Tanzania, Rose Ree, ameelezea huzuni yake kufuatia machafuko yanayoripotiwa kutokea nchini humo baada ya uchaguzi mkuu uliokumbwa na utata mkubwa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii huyo ameandika ujumbe mzito akionesha masikitiko yake kwa hali ilivyo nchini Tanzania, akisema kwamba moyo wake unaumia kutokana na machafuko hayo na kwamba bado analipenda taifa […]
Read More