Rose Muhando Awapuuza Wanaume Wanaomtaka Kimapenzi

Rose Muhando Awapuuza Wanaume Wanaomtaka Kimapenzi

Msanii wa nyimbo za injili kutoka Tanzania, Rose Muhando, ameweka wazi msimamo wake kuhusu masuala ya mahusiano na ndoa, akisisitiza kuwa hawezi kukubali ombi lolote la mwanaume anayemtaka kimapenzi bila kupata ruhusa kutoka kwa Mungu. Akizungumza kwenye podcast ya Sky Walker, Rose amesema maamuzi yote makubwa katika maisha yake huongozwa na imani, na suala la […]

Read More
 Rose Muhando Akanusha Tetesi za Kufunga Ndoa Kenya

Rose Muhando Akanusha Tetesi za Kufunga Ndoa Kenya

Msanii wa muziki wa injili kutoka Tanzania, Rose Muhando, ameibuka na kukanusha vikali tetesi zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa amefunga ndoa nchini Kenya. Akizungumza kufuatia kusambaa kwa clip moja mtandaoni, Rose Muhando amesema hajawahi kuolewa na mwanaume yeyote chini ya jua, akisisitiza kuwa taarifa hizo si za kweli kabisa. Msanii huyo ameeleza kuwa ameshtushwa na madai […]

Read More
 Rose Muhando ashinda tuzo mbili za kimataifa Australia

Rose Muhando ashinda tuzo mbili za kimataifa Australia

Baada ya Malkia wa muziki wa injili Tanzania Mtumishi wa Mungu Rose Muhando kufunga mwaka 2022 kibabe kwa kutoa Album yake iitwayo Secret Agenda ambayo hadi hivi sasa imepata mapokezi makubwa mnoo kwa wadau na wapenzi wa muziki wa injili. Sasa mwaka 2023 pia Mungu ameendelea kuwa upande wake kwa kufungua mwaka kwa kupata Tuzo mbili kubwa […]

Read More
 ROSE MUHANDO AKANUSHA TUHUMA ZA KUTOKA KIMAPENZI NA LORD MUTAI

ROSE MUHANDO AKANUSHA TUHUMA ZA KUTOKA KIMAPENZI NA LORD MUTAI

Mwanamuziki wa nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania Rose Muhando amejitenga na tuhuma za kutoka kimapenzi na mwanablogu mwenye utata nchini Lord Mutai. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Rose Muhando amekanusha madai hayo kwa kusema kwamba hayana msingi wowote ikizingatiwa kuwa hamfahamu kabisa Lord Mutai. Kauli Rose Muhando imekuja mara baada ya mtumiaji mmoja […]

Read More
 MR T AKIRI KUMUOMBA MSAMAHA MSANII WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO BAADA YA KUMVUNJIA HESHIMA 2021

MR T AKIRI KUMUOMBA MSAMAHA MSANII WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUHANDO BAADA YA KUMVUNJIA HESHIMA 2021

Mwanamuziki wa injili aliyegeukia ukasisi kutoka nchini Kenya Mr. T amekiri kumuomba msamaha msanii wa nyimbo za injili nchini Tanzania Rose Muhando baada ya kumvunjia heshima mwaka wa 2021. Kwenye mahojiano na mpasho Mr. T  amesema alichukua maamuzi hayo baada ya watu kumshambulia kwenye mitandao ya kijamii ambapo amedai kwamba hakuwa na nia ya kumharibia […]

Read More
 ROSE MUHANDO ATUHUMIWA KUTOKA KIMAPENZI NA MWANABLOGU MAARUFU NCHINI KENYA LORD MUTAI

ROSE MUHANDO ATUHUMIWA KUTOKA KIMAPENZI NA MWANABLOGU MAARUFU NCHINI KENYA LORD MUTAI

Msanii mashuhuri wa nyimbo za injili nchini Tanzania rose Muhando ameusimamisha mtandao wa Twitter kwa Jina lake kukaa kwenye orodha ya ‘Topics’ ambazo zinazungumzwa zaidi kwenye mtandao huo nchini Kenya. Hii ni baada ya mtumiaji mmoja wa mtandao wa Twitter kwa jina la bookten kudai hitmaker huyo wa ngoma ya  “Nibebe” aliwahi kutoka kimapenzi na […]

Read More