Rotimi afunguka kwanini anataka kuwa na watoto wengi
Mwanamuziki mwenye asili ya Nigeria Rotimi amefichua sababu kwa nini anataka kuwa na watoto wengi. Akizungumza kwenye video iliyochapishwa kwenye ukurasa wake wa Instagram Juzi, Rotimi alikiri kwamba kuwa mtoto wa pekee katika familia yao kulimfanya kutaka kuwa na watoto wengi. “Kwa hiyo nataka mwanangu (Seven Adeoluwa Akinosho) awe na mtu ambaye anaweza kumtegemea, ambaye […]
Read More