Avril Afichua Chanzo cha Malipo Duni kwa Wasanii nchini Kenya
Msanii na mwigizaji wa muda mrefu, Judith Nyambura maarufu kama Avril, ametoa kauli nzito kuhusu malalamiko ya wasanii wa Kenya kuhusu malipo duni kutoka kwa Chama cha Hakimiliki ya Muziki Kenya (MCSK). Akizungumza katika mahojiano ya moja kwa moja na Buzzroom Kenya, Avril alibainisha kuwa mzizi wa tatizo hauko kwa MCSK pekee kama inavyodhaniwa, bali […]
Read More