Rudeboy ampa talaka aliyekuwa mke wake Anita Okoye
Mahakama kuu jijini Abuja nchini Nigeria imetoa rasmi talaka ya waliokuwa mume na mke, Paul Okye a.k.a Rude Boy na Anita Okoye Desemba 20,mwaka 2022, ikiwa ni baada ya mwaka kupita tangu shauri hilo lifikishwe mahakamani na Anita Okoye, Agosti mwaka 2021. Anita Okoye alifungua shauri la talaka kwa kile alichodai kuchoshwa na usaliti wa […]
Read More