RUDRA KARTEL AFUNGUKA KUHUSU UKIMYA WAKE
Aliyekuwa msanii wa Magix Empire, Rudra Kartel amefunguka tusiyoyajua kuhusu maisha yake kwa kusema kwamba alitupwa jela kwa kipindi cha mwaka mmoja. Katika mahojiano na Plugtv Rudra amesema alikamatwa pamoja na rafiki zake baada ya polisi kuwakuta na silaha butu pamoja na bangi, jambo ambalo amedai liliwapelekea kufunguliwa mashtaka na kuwekwa korokoroni. Rudra Kartel ambaye […]
Read More