RUFFTONE AOMBA RADHI BAADA YA KUTOA KAULI TATA DHIDI YA DADDY OWEN
Mwimbaji wa nyimbo za Injili ambaye pia ni mwaniaji wa kiti cha useneti kaunti ya Nairobi, Rufftone, amejitokeza na kuomba radhi kakake Daddy Owen na Wakenya kwa ujumla kutokana na kauli ya chuki aliyoitoa juzi kati dhidi ya kakake. Rufftone amekiri kwamba alikuwa chini ya shinikizo na akaishia kumtumia kakake kueleza ni kwa nini alifikiri […]
Read More