RUTH MATETE AWAONYA WANAWAKE DHIDI YA KUWATONGOZA WANAUME
Mwimbaji wa nyimbo za injili aliyegeukia ukasisi Ruth Matete amewaonya wanawake dhidi ya kutongoza wanaume. Kwenye mahojiano na Lupaso TV, Matete amesema kitendo hicho kinakwenda kinyume na maandiko matakatifu lakini pia ni kuidhalilisha jinsia ya kike. Kulingana na mama huyo wa mtoto mmoja, wanaume ndio wanapaswa kuwa wa kwanza kuwatokea au kuwatongoza wanawake na sio […]
Read More