Ryan Ogam Ajiunga na Wolfsberger AC ya Austria

Ryan Ogam Ajiunga na Wolfsberger AC ya Austria

Mshambulizi wa Harambee Stars Ryan Ogam amekamilisha uhamisho wake kujiunga na kilabu cha Wolfsberger AC cha Austria kutoka kilabu cha Tusker FC kinachoshiriki katika ligi kuu ya FKF. Mshambulizi huyo mwenye umri wa miaka 20, ambaye alijipatia umaarufu kwa kufunga mabao mawili kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, atajiunga na wachezaji wenzake wapya […]

Read More