S2Kizzy Atoa Msaada kwa Prodyuza Bakteria Aliyepooza Baada ya Kushambuliwa

S2Kizzy Atoa Msaada kwa Prodyuza Bakteria Aliyepooza Baada ya Kushambuliwa

Mtayarishaji wa muziki kutoka Tanzania, S2Kizzy maarufu Zombie, ameonyesha moyo wa utu baada ya kumtembelea na kumpa msaada prodyuza mwenzake aitwaye Bakteria, ambaye kwa miaka miwili sasa amekuwa akikabiliwa na changamoto kubwa ya kiafya. Katika ziara yake, S2Kizzy alimpelekea msaada wa vyakula na mahitaji ya nyumbani, huku akisisitiza kuwa Bakteria alikuwa tegemeo kubwa kwa familia […]

Read More
 S2kizzy Awahimiza Maprodyuza Kuwa Wajasiri Katika Muziki

S2kizzy Awahimiza Maprodyuza Kuwa Wajasiri Katika Muziki

Prodyuza wa muziki kutoka Tanzania, S2kizzy, amewashauri maprodyuza wenzake kutoogopa kufanya aina yoyote ya muziki kwa kuhofia maneno ya watu. Kwa mujibu wa S2kizzy, muziki ni sanaa ya burudani na furaha, hivyo kila prodyuza ana nafasi ya kujaribu mitindo na miondoko mbalimbali ili kuleta furaha na burudani kwa jamii. S2kizzy, ambaye amehusishwa na kutengeneza hit […]

Read More
 S2kizzy Ajiita Profesa wa Muziki, Awahimiza  Beatmakers Kujiamini Zaidi

S2kizzy Ajiita Profesa wa Muziki, Awahimiza Beatmakers Kujiamini Zaidi

Mtayarishaji wa muziki kutoka Tanzania, S2kizzy maarufu Zombie, ameweka wazi mtazamo wake kuhusu nafasi ya beatmaker katika tasnia ya muziki. Akipiga stori na The Throne, Zombie anasema hakuna haja mtu yeyote kujisikia vibaya akiitwa beatmaker kwa sababu hiyo ndiyo nguzo muhimu inayoshikilia mchakato mzima wa utayarishaji muziki. Kwa maelezo yake, kutengeneza beat ndiko kunakoipa ngoma […]

Read More
 S2kizzy Amporomoshea Matusi Hussen Machozi

S2kizzy Amporomoshea Matusi Hussen Machozi

Mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva, S2kizzy, ameimtolea maneno makali mwanamuziki Hussen Machozi, akimuita mpumbavu. Akipiga stori na East Africa Radio, mtayarishaji huyo amesema hana sababu ya kushirikiana naye kimuziki ikizingatiwa kuwa nyimbo zake zimepitwa na wakati. S2kizzy anayejulikana kwa jina la utani Zombie amemchana vikali Machozi na kutamka wazi kuwa hamheshimu huku akimshauri msanii […]

Read More
 Prodyuza kutoka Tanzania S2kizzy ashirikishwa kwenye Album ya Black Eyed Peas “Elevation”

Prodyuza kutoka Tanzania S2kizzy ashirikishwa kwenye Album ya Black Eyed Peas “Elevation”

Mtayarishaji wa Tanzania S2kizzy ameshiriki kwenye kuitayarisha Album mpya ya Kundi maarufu la Muziki duniani Black Eyed Peas “Elevation” ambayo imetoka rasmi wiki hii. Zombie ameshiriki kutayarisha wimbo namba 9 kwenye Album hiyo uitwao “Filipina Queen” ambao ameshirikishwa mwanadada Bella Poarch. Kwenye Album hiyo yenye vyuma 15, Black Eyed Peas wamewapa mashavu wakali wa dunia kama Shakira, […]

Read More
 MAPRODYUZA WA BONGOFLEVA S2KIZZY NA BLACQ WATOFAUTIA KIMAWAZO KUHUSU SUALA LA MIRAHABA

MAPRODYUZA WA BONGOFLEVA S2KIZZY NA BLACQ WATOFAUTIA KIMAWAZO KUHUSU SUALA LA MIRAHABA

Watayarishaji wawili wa muziki kutoka nchini Tanzania Blacq Beatz na S2kizzy wameonekana kutofautiana katika mtazamo wa maprodyuza kutohusika katika mgao wa mirabaha ya muziki iliyotolewa usiku wa kuamkia Januari 29. Hili limekuja baada ya Chama cha Hakimiliki Tanzania COSOTA kwa kushirikiana na wizara ya sanaa kutoa sehemu ya fedha zilizopatikana kwenye kazi za wanamuziki {mirabaha} […]

Read More