Rapa Khaligraph Jones Akanusha Madai ya Sabato Kuhusu Simu

Rapa Khaligraph Jones Akanusha Madai ya Sabato Kuhusu Simu

Rapa maarufu wa Kenya Khaligraph Jones amekanusha vikali madai yaliyotolewa na mchekeshaji na mtoaji maudhui mtandaoni Sabato, maarufu kama “Sauti ya Ground”, kuwa alikaidi ombi la msaada wa simu. Akizungumza kupitia mahojiano na SPM Buzz, Khaligraph alieleza kuwa hajawahi kupokea ombi hilo kutoka kwa Sabato, wala hajawahi kuonana naye ana kwa ana kwa lengo hilo. […]

Read More