Nicki Minaj Aonyesha Upendo kwa Wasanii Chipukizi
Malkia wa muziki wa Rap kutoka Marekani Nicki Minaj ameonyesha upendo kwa kizazi kipya cha wasanii katika mahojiano mapya na Vogue Italia. Rapa huyo mwenye mafanikio makubwa alimtaja Sabrina Carpenter kama msanii anayemvutia kwa ubunifu na mvuto wa kipekee, akieleza kuwa aligundua kipaji chake hivi karibuni licha ya Carpenter kuwa kwenye muziki kwa muda. “Sabrina […]
Read More