Willy Paul Afungua Rasmi Duka la Pombe “Pozze Liquor” Jijini Nairobi

Willy Paul Afungua Rasmi Duka la Pombe “Pozze Liquor” Jijini Nairobi

Msanii maarufu wa muziki nchini Kenya, Willy Paul, amejiunga rasmi na biashara ya vinywaji baada ya kuzindua duka lake jipya la pombe linaloitwa Pozze Liquor. Duka hili limefunguliwa katika jengo la Safari Business Arcade, barabara ya USIU, jijini Nairobi. Kupitia mitandao ya kijamii, Willy Paul alithibitisha ufunguzi huo rasmi na kuwakaribisha mashabiki pamoja na wateja […]

Read More