MWALIMU RACHAEL AVUNJA KIMYA CHAKE KUHUSU KUITAPELI KUNDI LA SAILORS GANG

MWALIMU RACHAEL AVUNJA KIMYA CHAKE KUHUSU KUITAPELI KUNDI LA SAILORS GANG

Aliyekuwa meneja wa Sailors Gang Mwalimu Rachael amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya msanii Cocos Juma kumtuhumu kuwa alipora shillingi millioni 15 za kundi hilo. Kupitia chaneli yake ya Youtube Mwalimu Rachael amesema ameshangazwa na kitendo cha Cocos Juma kumzushia taarifa za uongo kuwa aliwatapeli pesa zao ikizingatiwa kipindi anasimamia muziki  wao alihakikisha kila […]

Read More
 KRG THE DON AFUFUA BIFU YAKE NA KUNDI LA SAILORS GANG

KRG THE DON AFUFUA BIFU YAKE NA KUNDI LA SAILORS GANG

Msanii wa  muziki nchini KRG The Don amefufua tena bifu yake na wasanii wa sailors gang siku chache baada msanii wa kundi hilo Cocos Juma kudai kuwa lebo ya Black Market Records imesambaratisha muziki wao. Kupitia ukurasa wake wa instagram KRG The Don amesema aliwaonya wasanii wa sailors gang kuhusu muziki wao lakini walimchukulia poa huku akienda […]

Read More
 COCOS JUMA WA SAILORS GANG AFUNGUKA MANYANYASO WANAYOPITIA CHINI YA BLACK MARKET RECORDS

COCOS JUMA WA SAILORS GANG AFUNGUKA MANYANYASO WANAYOPITIA CHINI YA BLACK MARKET RECORDS

Msanii wa Sailors gang,Cocos Juma amedai kwamba wanajuta kujiunga na lebo ya muziki ya Black Market Records. Katika mahojiano na Plug TV Cocos Juma amekiri kutopata chochote kwenye muziki wao ikiwemo kutomiliki kazi zao za muziki ambazo wamezifanya kwa kipindi chote ambacho amekuwa chini ya lebo ya muziki ya black market records. Msanii huyo ameenda mbali zaidi […]

Read More
 MEMBER WA SAILORS GANG SHALKIDO ATANGAZA KUACHA MUZIKI

MEMBER WA SAILORS GANG SHALKIDO ATANGAZA KUACHA MUZIKI

Member wa kundi la Sailors gang, Shalkido ametangaza kuachana kabisa na masuala ya muziki. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa instagram,Shalikido amesema amechukua uamuzi huo baada ya kugundua kuwa muziki wake umepoteza mvuto kwenye jamii, hivyo ni wakati wake wa kupumzika na kuacha wasanii wengine waendelee. “Baada ya muda mrefu kutafakari kuhusu kazi yangu ya muziki, nimegundua kuwa muziki wangu hauna […]

Read More
 SAILORS GANG WATANGAZA UJIO MPYA

SAILORS GANG WATANGAZA UJIO MPYA

Kundi la muziki wa Gengetone Sailors Gang limetangaza kurejea rasmi kwenye game ya muziki nchini baada ya ukimya wa miaka miwili. Wasanii wanaounda kundi hilo wamethibitisha taarifa hiyo kwenye mahojiano yao ya hivi karibuni huku wakiwataka mashabiki zao wakae mkao wa kula kupokea ujio wao mpya ambao wameutaja ni wa kitofauti sana ikizingatiwa kuwa wana mpango wa kuachia ngoma […]

Read More