MENEJA WA RECHO RAY, ASITISHA KUFANYA KAZI NA MSANII HUYO WA UGANDA KISA HASARA
Meneja wa msanii Recho Ray, Saka ametangaza kuacha kufanya kazi na msanii huyo kwa kile kinachodaiwa kuwa hasara ambayo amepata tangu aanze kusimamia kazi zake za muziki. Hatua hiyo imekuja mara baada ya Saka kuwekeza pesa nyingi kwa Recho Rey lakini hajaweza kurudisha hata senti moja kwani msanii huyo hajaweza kutumbuiza kwa kipindi cha miaka […]
Read More