FIFA yaanza uchunguzi juu ya sakata la Salt Bae kuingia uwanjani kwenye fainali ya Kombe la Dunia

FIFA yaanza uchunguzi juu ya sakata la Salt Bae kuingia uwanjani kwenye fainali ya Kombe la Dunia

Fifa inachunguza jinsi mpishi maarufu Salt Bae na watu wengine kadhaa walipata “nafasi isiofaa” kufika uwanjani mwishoni mwa fainali ya Kombe la Dunia nchini Qatar. Salt Bae, mpishi wa Uturuki ambaye jina lake halisi ni Nusret Gokce, alionekana katika picha akiwa ameshika na kubusu kombe la Kombe la Dunia akisherehekea na wachezaji wa Argentina baada […]

Read More