Sam West awataka watu kutoingilia mahusiano yake na Vivian
Siku moja baada ya Sam West kuthibitisha kuwa mahusiano yake na mwimbaji Vivian yameingiwa na ukungu, sasa mchekeshaji huyo ambaye anasusua kisanaa nchini ameibuka na mpya. Kupitia mitandao ya kijamii Sam West amewataka watu kutoingilia sana sakata la ndoa yake na Vivian kuvunjika kwani huenda wakabaki njia panda ikitokea wamefufua tena penzi lao. “Methali: Mambo […]
Read More