SAMA SOJAH AFUNGUKA KUWA MSANII HAWEZI TOKA KIMUZIKI BILA KUTOA KIINUA MGONGO KWA VYOMBO VYA HABARI

SAMA SOJAH AFUNGUKA KUWA MSANII HAWEZI TOKA KIMUZIKI BILA KUTOA KIINUA MGONGO KWA VYOMBO VYA HABARI

Msanii wa lebo ya muziki ya Redzone Music, Sama Sojah amefunguka na kudai kwamba msanii hawezi kutoka kimuziki hazipotoa kiinua mgongo kwa vituo vya redio na runinga zipige nyimbo zake. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni mwanamuziki huyo kutoka nchini Uganda amesema kwa miaka mingi muziki wake haujakuwa ukipata mapokezi mazuri kutokana kwa mashabiki kwa […]

Read More