Uhamisho wa Samidoh Wazua Taharuki, Ujumbe Wake Waacha Maswali
Msanii mashuhuri wa Mugithi na afisa wa polisi, Samuel Muchoki almaarufu Samidoh, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kuchapisha ujumbe tata kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, muda mfupi baada ya kuhamishwa kazini. Kupitia Instagram, Samidoh aliandika: “When injustice becomes law, resistance becomes duty!”, kauli yenye uzito inayohusishwa na upinzani dhidi ya udhalimu. Ujumbe huo […]
Read More