Msanii Maarufu wa Mugithi Samidoh Aaga Rasmi Huduma ya Polisi

Msanii Maarufu wa Mugithi Samidoh Aaga Rasmi Huduma ya Polisi

Huduma ya Taifa ya Polisi (NPS) imekubali rasmi kujiuzulu kwa mwanamuziki maarufu wa Mugithi, Samuel Muchoki, anayejulikana kwa jina la kisanii Samidoh. Samidoh, ambaye amehudumu katika jeshi la polisi kwa miaka 12, alitoa barua ya kujiuzulu akitaja sababu binafsi na hamu ya kuzingatia kikamilifu taaluma yake ya muziki inayozidi kung’aa. Kujiuzulu kwake kumeanza kutekelezwa kuanzia […]

Read More
 Samidoh Aingia Matatani Baada ya Kushiriki Nderemo za ‘Wantam’ Klabuni

Samidoh Aingia Matatani Baada ya Kushiriki Nderemo za ‘Wantam’ Klabuni

Mwanamuziki na afisa wa polisi, Konstebo Samuel Muchoki almaarufu Samidoh, anaripotiwa kuwa katika hatari ya kupoteza ajira yake baada ya kushiriki nderemo na vifijo vya “Wantam” akiwa kwenye klabu ya burudani. Kwa mujibu wa Huduma ya Polisi Nchini (NPS), Samidoh anadaiwa kukiuka mwongozo rasmi unaodhibiti mwenendo wa maafisa wa polisi, hata wanapokuwa nje ya majukumu […]

Read More