Samsung Yatoa Uhuru Mpya kwa Watumiaji Kupitia Quick Settings
Kampuni ya teknolojia ya Samsung imeanza kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa uendeshaji, ikilenga kutoa uhuru zaidi kwa watumiaji kupitia toleo jipya la One UI 8.5. Mabadiliko haya makuu yanahusu sehemu ya Quick Settings na Lock Screen, ambazo sasa zitakuwa completely customizable, hatua inayoashiria ushindani wa moja kwa moja na mfumo wa iOS wa […]
Read More