Samuel Eto’o aomba radhi kwa kumshambulia Mwandishi wa Habari

Samuel Eto’o aomba radhi kwa kumshambulia Mwandishi wa Habari

Rais wa Shirikisho la Soka nchini Cameroon, Samuel Eto’o ameomba radhi kufuatia kitendo chake cha kumpiga na kumshambulia kwa mateke Mwandishi wa Habari mnamo Disemba 5 mwaka huu. Kwenye video ambayo ilisambaa kwenye mitandao ya Kijamii, Eto’o alionekana akimshambulia Mwandishi huyo ambaye ni raia wa Algeria. “Ningependa kuomba radhi kwa kushindwa kuzuia hasira zangu na […]

Read More