SANAIPEI TANDE AFUNGUKA SABABU ZA KUITOSA KOLABO YA WILLY PAUL
Msanii mkongwe nchini Sanaipei Tande amefungukwa kwa mara ya kwanza sababu za kutofanya collabo na msanii Willy Paul. Hitmaker huyo wa “Najuta” amesema alidinda kufanya collabo na Willy Paul kwa sababu msanii huyo ana skendo nyingi lakini pia anapenda sana kujihusisha na masuala ya kiki kuutangaza kazi za muziki kitu ambacho anadai kwamba hakipendi kabisa. […]
Read More