SANAIPEI TANDE AWABARIKI MASHABIKI NA EP MPYA

SANAIPEI TANDE AWABARIKI MASHABIKI NA EP MPYA

Nyota wa muziki nchini Sanaipei Tande ameachia EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Nabo. Sanaipei ameamua kuwa surprise mashabiki zake kwa kuachia EP hiyo mpya yenye nyimbo sita huku ikiwa na kolabo mbili ambazo amewashirikisha wakali kama Khaligraph jone na Nyanshinski. Nabo Ep ina nyimbo kama Jali akiwa amemshirikisha Nyashinski, Chukua, Nakuthamini,Kiwango akiwa amemshiriisha Khaligraph Jones, Yuko na Wewe na Nabo ambayo imebeba jina la EP hiyo. Hii inakuwa EP ya kwanza kutoka kwa mtu mzima Sanaipei Tande na inapatikana exclusive kwenye Digital Platforms zote za kusambaza muziki duniani

Read More