Mzozo Mpya Wazuka Kati ya Weasel na Mkewe Sandra Teta

Mzozo Mpya Wazuka Kati ya Weasel na Mkewe Sandra Teta

Mwanamuziki wa Uganda, Weasel Manizo, na mkewe Sandra Teta wamejikuta tena katika mzozo mkali, miezi miwili tu baada ya tukio la awali ambapo inadaiwa Teta alimgonga kwa gari. Tukio jipya limeibuka kupitia video iliyosambaa usiku wa kuamkia jana, ikimuonyesha Weasel akiwa katika hali ya taharuki huku akilia akiomba msaada. Katika video hiyo, Teta anaonekana akijaribu […]

Read More
 SANDRA AMTAKA DANIELLA ATIM KUTOINGILIA NDOA YAKE NA WEASEL

SANDRA AMTAKA DANIELLA ATIM KUTOINGILIA NDOA YAKE NA WEASEL

Baby mama wa msanii Weasel, Sandra Teta amemtaka mke wa Jose Chameleone’, Daniella Atim akome kuingilia masuala ya mahusiano yake. Daniella Atim amekuwa akiendesha kampeini ya kutaka haki itendeke kwa sandra teta ambaye aliripotiwa kushushiwa kipigo cha mbwa na mume wake Weasel manizo. Lakini Sandra ameonekana kutopendezwa na kitendo cha Daniella kumtetea kwenye mitandao ya […]

Read More