SARKODIE AFUNGUKA KUKUTANA NA BEYONCE

SARKODIE AFUNGUKA KUKUTANA NA BEYONCE

Rapa wa nchini Ghana Sarkodie amefunguka kuhusu tukio la kuwahi kukutana na Beyonce kwenye Tuzo za BET mwaka 2019. Sarkodie ambaye alishinda Tuzo ya Best International Flow usiku huo amefanya mahojiano na kuzungumzia tukio hilo ambalo wengi walishindwa kuamini. Amesema β€œKuna stori ya kuvutia ambayo iliwahi kunitokea, sikuwahi kupata uwezo wa kuizungumzia lakini Ice Prince […]

Read More