Sasha Brighton akiri kuchoshwa na mahusiano ya kimapenzi

Sasha Brighton akiri kuchoshwa na mahusiano ya kimapenzi

Msanii kutoka Uganda Sasha Brighton amefunguka kuwa hataki kusikia habari ya kuchumbiana kwani ameshaonja uchungu na utamu wake kwenye mahusiano yake ya zamani. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni mkali huyo wa ngoma ya “Byonjagadde”amesema kuwa sio kwamba haoni wanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano bali hana hamu na mapenzi tena kwani wito wa kuoa umepotea […]

Read More