Breaking!

Erfolgreiche_Strategien_von_Einsteigern_bis_Profis_mit_felixspin_für_nachhaltig
Erfolgreiche_Wetten_und_umfassende_fezbet_erfahrungen_für_Sportbegeisterte
test
Content Review 749-325393-1f613f0616e0
September 21, 2026
  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • LifeStyle
  • Tech
  • Sports

Tag: saudia arabia

 Kocha wa Saudi Arabia akanusha taarifa za wachezaji wake kupewa Rolls Royce
Robert Elim November 27, 2022
Comments (0)

Kocha wa Saudi Arabia akanusha taarifa za wachezaji wake kupewa Rolls Royce

Kocha wa timu ya Taifa ya Saudi Arabia Herve Renard amekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao zikisema kwamba wachezaji wote wa timu hiyo watazawadiwa magari aina ya Rolls Royce kufuatia ushindi wao mkubwa dhidi ya Argentina kwenye fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar. Kwa mujibu wa The New York Post, Herve Renard amesema hakuna ukweli […]

Read More
 Saudia Arabia yaichapa Argentina kwenye michuano ya Kombe la Dunia
Robert Elim November 23, 2022
Comments (0)

Saudia Arabia yaichapa Argentina kwenye michuano ya Kombe la Dunia

Mitanange ya Kombe la Dunia inaendelea kutimua vumbi huko Qatar, ni timu 32, sawa na mechi 64 zikitarajiwa kupigwa kwenye viwanja tofauti. Moja kati ya mchezo uliwashangaza wengi Duniani ni huu wa mchana, ni mtanange wa Timu ya Taifa ya Argentina dhidi ya Saudi Arabia ambapo Argentina imeanza kwa kupigwa katika mchezo wake wa kwanza […]

Read More

About Urban Spice

UrbanSpice.ke is Kenya's flavor-packed digital hub, delivering the hottest Entertainment, Sports, and Tech stories with a bold twist.

🔥 Spice Up Your Daily Buzz- One headline at a time.

Quick Links

  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • Lifestyle
  • Tech
  • Sports
  • Contact Us ▼
    • 📧 info@urbanspice.ke
    • 📧 urbanspice254@gmail.com
    • 📞 0750 396 709
    • 💬 Chat on WhatsApp

Follow Us

Stay in the loop with the latest buzz.

Contact Us

Email 1:info@urbanspice.ke

Email 2:urbanspice254@gmail.com

Phone: 0750 396 709

WhatsApp: Chat on WhatsApp

© 2025 UrbanSpice.ke — All rights reserved.