SAUTI SOL WATANGAZA TAREHE YA KUFANYIKA KWA TAMASHA LAO LA “SOL FEST”
Kundi la Sauti Sol limetangaza rasmi tarehe ambayo watalifanya tamasha la muziki liitwalo βSol Festβ. Kulingana na sauti sol, tamasha lao la siku mbili limepangwa kufanyika Desemba 11 na 12 mwaka huu wa, 2021. Akizungumzia kuhusu mustakabali wa kundi la Sauti Sol baaada ya wasanii wake kuzindua utaratibu wa kuachia kazi zao kama wasanii wa […]
Read More