TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA LASITISHWA RASMI BAADA YA MIAKA 19

TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA LASITISHWA RASMI BAADA YA MIAKA 19

Tamasha maarufu la utamaduni na muziki wa kiafrika, Sauti za Busara limesitishwa rasmi. Baada ya miaka 19 ya kusherehekea tamasha hilo visiwani Zanzibar, Busara Promotions imetangaza kusitisha shughuli zake ifikapo Machi 31, mwaka 2022 kutokana na ukosefu wa rasimali na fedha. Akizungumza na waandishi wa habari, mjini Unguja, mwanzilishi na Mkurugenzi wa Busara Promotions, Yusuf […]

Read More