Savara wa Sauti Sol atangazwa balozi mpya wa kinywaji cha Kenya Cane

Savara wa Sauti Sol atangazwa balozi mpya wa kinywaji cha Kenya Cane

Msanii wa Sauti Sol, Savara ametangazwa kuwa balozi mpya wa knywaji cha Kenya Cane Kupitia ukurasa wake wa Instagram Savara amesema ni jambo la faraja kufanya kazi na Kenya Cane kwani huo ni mwanzo wa ushirikiano mzuri kati yake na kampuni hiyo. Lakini pia ameishukuru uongozi wake pamoja na wadau wote waliofanikisha dili hilo huku akiahidi kuiongezea kampuni hiyo mauzo kutokana na ushawishi kwenye jamii. “I have worked hard to bring out my genius through art. I am on my journey to more greatness and I am proud to partner with Kenya Cane as the Official Brand Ambassador. I appreciate all parties that made this possible. I love my team. Now to more amazing art. Twende kazi #TheGreatsToastTwice”, Ameandika Instagram Hata hivyo Kampuni ya Kenya Cane imesema imeingia mkataba na Savara kwa kuwa wanaamini atasaidia kuzinyanyua bidhaa za kampuni hiyo kuwafikia wateja wengi.

Read More
 SAVARA ADAI HAAMINI KWENYE SUALA LA WANANDOA KUVISHANA PETE

SAVARA ADAI HAAMINI KWENYE SUALA LA WANANDOA KUVISHANA PETE

Msanii Savara ametoa ya moyoni kwa kusema kwamba haamini kwenye suala la wapenzi kuvishana pete wanapofunga ndoa. Msanii huyo wa Sauti Sol amehoji kuwa pete haina umuhimu wowote kwa wanandoa, hivyo haoni kama inaashiria uaminifu kwa kuwa ni pambo kama mapambo mengine. Kwenye mahojiano na podcast ya SPM Buzz Savara amesema kuna watu wamevishwa pete na wapenzi wao lakini mwisho wa siku wanafanya udanganyifu kwenye mahusiano yao. Hata hivyo amesisitiza kuwa penzi la kweli linatoka moyoni na wala sio kupitia pete, hivyo hatokuja kumvisha pete mchumba wake Yvonne Endo.

Read More
 SAVARA AMCHANA ERIC OMONDI, AMTAKA AACHE KUINGILIA WANAMUZIKI

SAVARA AMCHANA ERIC OMONDI, AMTAKA AACHE KUINGILIA WANAMUZIKI

Msaniii wa Sauti Sol, Savara Mudigi amepinga kauli ya mchekeshaji Eric Omondi kuwa wasanii wakenya hawana ubunifu wa kutengeneza matukio yatakayowafanya wazungumziwe kwenye tasnia ya muziki nchini. Katika mahijiano yake hivi karibuni Savara amemtaka awache kujihusisha na masuala ya wanamuziki na badala yake awekeze muda wake kuboresha kazi yake ya ucheshi. Sanjari na hilo Savara ameweka wazi matamanio yake ya kuingia kwenye siasa kwa kusema kuwa amekuwa akishinikizwa na watu wake wa karibu awanie wadhfa wa kisiasa lakini muda sahihi wa kufanya hivyo haujafika. Utakumbuka Savara anafanya vizuri na album yake iitwayo Savage Level ambayo ina jumla ya nyimbo 14 ya moto

Read More